onionshare/docs/source/locale/sw/LC_MESSAGES/develop.po

246 lines
10 KiB
Plaintext

# SOME DESCRIPTIVE TITLE.
# Copyright (C) Micah Lee, et al.
# This file is distributed under the same license as the OnionShare package.
# FIRST AUTHOR <EMAIL@ADDRESS>, YEAR.
#
msgid ""
msgstr ""
"Project-Id-Version: OnionShare 2.5\n"
"Report-Msgid-Bugs-To: onionshare-dev@lists.riseup.net\n"
"POT-Creation-Date: 2022-01-17 10:28-0800\n"
"PO-Revision-Date: 2023-04-18 13:52+0000\n"
"Last-Translator: Zaituni Njovu <zaitunimbii@gmail.com>\n"
"Language-Team: none\n"
"Language: sw\n"
"MIME-Version: 1.0\n"
"Content-Type: text/plain; charset=UTF-8\n"
"Content-Transfer-Encoding: 8bit\n"
"Plural-Forms: nplurals=2; plural=n != 1;\n"
"X-Generator: Weblate 4.17\n"
#: ../../source/develop.rst:2
msgid "Developing OnionShare"
msgstr "Kutengeneza OnionShare"
#: ../../source/develop.rst:7
msgid "Collaborating"
msgstr "Kushirikiana"
#: ../../source/develop.rst:9
msgid ""
"OnionShare has an open Keybase team to discuss the project, ask questions, "
"share ideas and designs, and making plans for future development. (It's also "
"an easy way to send end-to-end encrypted direct messages to others in the "
"OnionShare community, like OnionShare addresses.) To use Keybase, download "
"the `Keybase app <https://keybase.io/download>`_, make an account, and `join "
"this team <https://keybase.io/team/onionshare>`_. Within the app, go to "
"\"Teams\", click \"Join a Team\", and type \"onionshare\"."
msgstr ""
"OnionShare hina kikosi kazi cha msingi cha wazi cha kujadili mradi, kuuliza "
"maswali, kushirikishana mawazo na ubunifu, na kuweka mipango ya maendeleo ya "
"baadae. (Pia ni njia rahisi ya kutuma ujumbe wa maandishi wa moja kwa moja "
"uliosimbwa kwa wengine waliopo katika jumuiya ya OnionShare, kama anwani za "
"OnionShare.) Kutumia Keybase, pakua `Keybase app <https://keybase.io/"
"download>`_, tengeneza akaunti, kisha `ungana na kikosi hiki<https://keybase."
"io/team/onionshare>`_. Katika programu nenda katika, \"Teams\", click \"Join "
"a Team\", kisha andika \"onionshare\"."
#: ../../source/develop.rst:12
msgid ""
"OnionShare also has a `mailing list <https://lists.riseup.net/www/subscribe/"
"onionshare-dev>`_ for developers and and designers to discuss the project."
msgstr ""
"OnionShare pia ina `orodha ya barua pepe <https://lists.riseup.net/www/"
"subscribe/onionshare-dev>`_ kwa ajili ya watengenezaji na wabunifu kujadili "
"mradi."
#: ../../source/develop.rst:15
msgid "Contributing Code"
msgstr "Msimbo wa kuchangia"
#: ../../source/develop.rst:17
msgid ""
"OnionShare source code is to be found in this Git repository: https://github."
"com/onionshare/onionshare"
msgstr ""
"Maelezo ya msingi ya programu ya OnionShare yanatakiwa kupatikana katika "
"folda la Git katika mradi: https://github.com/onionshare/onionshare"
#: ../../source/develop.rst:19
msgid ""
"If you'd like to contribute code to OnionShare, it helps to join the Keybase "
"team and ask questions about what you're thinking of working on. You should "
"also review all of the `open issues <https://github.com/onionshare/"
"onionshare/issues>`_ on GitHub to see if there are any you'd like to tackle."
msgstr ""
"Kama utapenda kuchangia maelezo ya msingi ya uundwaji wa OnionShare, "
"inasaidia kuungana na kikosi cha Keybase na kuuliza maswali kuhusiana nini "
"unafikiria kukifanyia kazi. Pia unatakiwa kupitia `open issues <https://"
"github.com/onionshare/onionshare/issues>`_ on GitHub kuona kama kuna "
"chochote ambacho ungeopenda kukifanyia kazi."
#: ../../source/develop.rst:22
msgid ""
"When you're ready to contribute code, open a pull request in the GitHub "
"repository and one of the project maintainers will review it and possibly "
"ask questions, request changes, reject it, or merge it into the project."
msgstr ""
"Ukiwa tayari kuchangia mawazo ya msingi ya unndwani, fungua mjadala wa "
"kuwataarifu wengine kuhusiana na mabadiliko unayotaka kufanya katika GitHub "
"na mmoja katika ya watu wa mradi watayapitia na wanaweza kukuuliza maswali, "
"kuomba mabadiliko, kuyakataa au kuunganisha katika mradi."
#: ../../source/develop.rst:27
msgid "Starting Development"
msgstr "Kuanza Maboresho"
#: ../../source/develop.rst:29
msgid ""
"OnionShare is developed in Python. To get started, clone the Git repository "
"at https://github.com/onionshare/onionshare/ and then consult the ``cli/"
"README.md`` file to learn how to set up your development environment for the "
"command-line version, and the ``desktop/README.md`` file to learn how to set "
"up your development environment for the graphical version."
msgstr ""
"OnionShare imetengenezwa katika lugha ya kompyuta ya programu inayotengeneza "
"programu na tovuti. Ili kuanza, nakilisha Git repository katika https://"
"github.com/onionshare/onionshare/ kisha omba ushauri kwa faili la``cli/"
"README.md`` ili kujifunza namna ya kupangilia mazingira yako ya maboreshokwa "
"toleo la command-line, na faili``desktop/README.md`` kujifunza namna ya "
"kupangilia mazingira yako ya maboresho katika toleo la picha."
#: ../../source/develop.rst:32
msgid ""
"Those files contain the necessary technical instructions and commands "
"install dependencies for your platform, and to run OnionShare from the "
"source tree."
msgstr ""
"Mafaili yote yaliyo na maelezo ya muhimu ya kiufundi na lugha ya kompyuta "
"sanikisha yakitegemeana katika utendaji wako, na tumia OnionShare kutoka "
"kwenye chanzo."
#: ../../source/develop.rst:35
msgid "Debugging tips"
msgstr "Vidokezo vya utatuzi"
#: ../../source/develop.rst:38
msgid "Verbose mode"
msgstr "Mfumo wa kupata taarifa zaidi"
#: ../../source/develop.rst:40
msgid ""
"When developing, it's convenient to run OnionShare from a terminal and add "
"the ``--verbose`` (or ``-v``) flag to the command. This prints a lot of "
"helpful messages to the terminal, such as when certain objects are "
"initialized, when events occur (like buttons clicked, settings saved or "
"reloaded), and other debug info. For example::"
msgstr ""
"Wakati wa utenegenezaji, Urahisi wa kutumia OnionShare kutoka katika kifaa "
"na kuongeza ``--verbose`` (au``-v``) ishara katika utendaji wa lugha ya "
"kompyuta. Hii hutoa jumbe nyingi zenye msaada katika kifaa unachotumia, kama "
"vile wakati kifaa fulani kinaanzishwa kutumika, wakati matukio yanatokea "
"(kama kitufe kiklichobonyezwa, mipangilio iliyohifadhiwa au kurekebishwa), "
"na taarifa zingine za utatuzi. Kwa mfano::"
#: ../../source/develop.rst:117
msgid ""
"You can add your own debug messages by running the ``Common.log`` method "
"from ``onionshare/common.py``. For example::"
msgstr ""
"Unaweza kuongeza ujumbe wako mwenyewe wa utatuzi kwa kuitumia njia "
"ya``Common.log`` kutoka``onionshare/common.py``. Kwa mfano::"
#: ../../source/develop.rst:121
msgid ""
"This can be useful when learning the chain of events that occur when using "
"OnionShare, or the value of certain variables before and after they are "
"manipulated."
msgstr ""
"Hii inaweza kufaa wakati wa kujifunza mnyororo wa matukioyanayotokjea "
"unapotumia OnionShare, au thamani ya vitu fulani kabla na baada ya kutumiwa."
#: ../../source/develop.rst:124
msgid "Local Only"
msgstr "Ndani tu"
#: ../../source/develop.rst:126
msgid ""
"Tor is slow, and it's often convenient to skip starting onion services "
"altogether during development. You can do this with the ``--local-only`` "
"flag. For example::"
msgstr ""
"Tor ipo polepole, na maranyingi ni rahisi kuruka kuanza onion services zote "
"kwa pamoja wakati zinatengenezwa. Unaweza kufanya hivi ukiwa na ``--local-"
"only``. Kwa mfano::"
#: ../../source/develop.rst:165
msgid ""
"In this case, you load the URL ``http://127.0.0.1:17641`` in a normal web-"
"browser like Firefox, instead of using the Tor Browser. The private key is "
"not actually needed in local-only mode, so you can ignore it."
msgstr ""
"Kwa jambo hili, tafuta URL ``http://127.0.0.1:17641`` katika kivinjari cha "
"kawaida kama vile Firefox, badala ya kutumia Tor Browser. Private key "
"haiitajiki sana katika mfamo wa ndani tu, hivyo unaweza ukaipuuzia."
#: ../../source/develop.rst:168
msgid "Contributing Translations"
msgstr "Kuchangia utafsiriji"
#: ../../source/develop.rst:170
msgid ""
"Help make OnionShare easier to use and more familiar and welcoming for "
"people by translating it on `Hosted Weblate <https://hosted.weblate.org/"
"projects/onionshare/>`_. Always keep the \"OnionShare\" in latin letters, "
"and use \"OnionShare (localname)\" if needed."
msgstr ""
"Saidia kufanya OnionShare rahisi kutumia na inayojulikana na inayokubalika "
"na watu kwa kuitafsiri `Hosted Weblate <https://hosted.weblate.org/projects/"
"onionshare/>`_. Sikizote fanya \"OnionShare\" katika ketika heruzi za "
"kilatin, na tumia \"OnionShare (localname)\" kama zinahitajika."
#: ../../source/develop.rst:172
msgid ""
"To help translate, make a Hosted Weblate account and start contributing."
msgstr ""
"Kusaidia kutafsiri, tengeneza akaunti katika Hosted Weblate kisha anza kutoa "
"mchango wako."
#: ../../source/develop.rst:175
msgid "Suggestions for Original English Strings"
msgstr "Mapendekezo ya maneno ya asili ya kingereza"
#: ../../source/develop.rst:177
msgid ""
"Sometimes the original English strings are wrong, or don't match between the "
"application and the documentation."
msgstr ""
"Wakati mwingine maneno ya asili ya kingereza sio sahihi, au hayaendani na "
"matumizi na nyaraka."
#: ../../source/develop.rst:179
msgid ""
"File source string improvements by adding @kingu to your Weblate comment, or "
"open a GitHub issue or pull request. The latter ensures all upstream "
"developers see the suggestion, and can potentially modify the string via the "
"usual code review processes."
msgstr ""
"Kuboresha mafaiili kwa kuongeza @kingu katika mapendekezo yako ya Weblate, "
"au fungua matatizo ya GitHub au ombi la mabadiliko. Baadae itahakikisha "
"watengenezaji wanaona hayo mapemndekezo yote, na wanaweza kurekebisha maneno "
"kupitia njia ya kawaida ya kufuatilia mnisingi ya programu."
#: ../../source/develop.rst:183
msgid "Status of Translations"
msgstr "Hali ya utafsiriji"
#: ../../source/develop.rst:184
msgid ""
"Here is the current translation status. If you want start a translation in a "
"language not yet started, please write to the mailing list: onionshare-"
"dev@lists.riseup.net"
msgstr ""
"Hii ni hali ya utafsiriji kwa sasa. Kama unataka kuanza kuatafsiri katika "
"lugha ambayo bado haijaanza kutafsiriwa, tFdhLI ndik katika orodha ya Barua "
"pepe: onionshare-dev@lists.riseup.net"