# SOME DESCRIPTIVE TITLE. # Copyright (C) Micah Lee, et al. # This file is distributed under the same license as the OnionShare package. # FIRST AUTHOR , YEAR. # msgid "" msgstr "" "Project-Id-Version: OnionShare 2.5\n" "Report-Msgid-Bugs-To: onionshare-dev@lists.riseup.net\n" "POT-Creation-Date: 2022-01-17 10:28-0800\n" "PO-Revision-Date: 2023-04-18 13:52+0000\n" "Last-Translator: Zaituni Njovu \n" "Language-Team: none\n" "Language: sw\n" "MIME-Version: 1.0\n" "Content-Type: text/plain; charset=UTF-8\n" "Content-Transfer-Encoding: 8bit\n" "Plural-Forms: nplurals=2; plural=n != 1;\n" "X-Generator: Weblate 4.17\n" #: ../../source/develop.rst:2 msgid "Developing OnionShare" msgstr "Kutengeneza OnionShare" #: ../../source/develop.rst:7 msgid "Collaborating" msgstr "Kushirikiana" #: ../../source/develop.rst:9 msgid "" "OnionShare has an open Keybase team to discuss the project, ask questions, " "share ideas and designs, and making plans for future development. (It's also " "an easy way to send end-to-end encrypted direct messages to others in the " "OnionShare community, like OnionShare addresses.) To use Keybase, download " "the `Keybase app `_, make an account, and `join " "this team `_. Within the app, go to " "\"Teams\", click \"Join a Team\", and type \"onionshare\"." msgstr "" "OnionShare hina kikosi kazi cha msingi cha wazi cha kujadili mradi, kuuliza " "maswali, kushirikishana mawazo na ubunifu, na kuweka mipango ya maendeleo ya " "baadae. (Pia ni njia rahisi ya kutuma ujumbe wa maandishi wa moja kwa moja " "uliosimbwa kwa wengine waliopo katika jumuiya ya OnionShare, kama anwani za " "OnionShare.) Kutumia Keybase, pakua `Keybase app `_, tengeneza akaunti, kisha `ungana na kikosi hiki`_. Katika programu nenda katika, \"Teams\", click \"Join " "a Team\", kisha andika \"onionshare\"." #: ../../source/develop.rst:12 msgid "" "OnionShare also has a `mailing list `_ for developers and and designers to discuss the project." msgstr "" "OnionShare pia ina `orodha ya barua pepe `_ kwa ajili ya watengenezaji na wabunifu kujadili " "mradi." #: ../../source/develop.rst:15 msgid "Contributing Code" msgstr "Msimbo wa kuchangia" #: ../../source/develop.rst:17 msgid "" "OnionShare source code is to be found in this Git repository: https://github." "com/onionshare/onionshare" msgstr "" "Maelezo ya msingi ya programu ya OnionShare yanatakiwa kupatikana katika " "folda la Git katika mradi: https://github.com/onionshare/onionshare" #: ../../source/develop.rst:19 msgid "" "If you'd like to contribute code to OnionShare, it helps to join the Keybase " "team and ask questions about what you're thinking of working on. You should " "also review all of the `open issues `_ on GitHub to see if there are any you'd like to tackle." msgstr "" "Kama utapenda kuchangia maelezo ya msingi ya uundwaji wa OnionShare, " "inasaidia kuungana na kikosi cha Keybase na kuuliza maswali kuhusiana nini " "unafikiria kukifanyia kazi. Pia unatakiwa kupitia `open issues `_ on GitHub kuona kama kuna " "chochote ambacho ungeopenda kukifanyia kazi." #: ../../source/develop.rst:22 msgid "" "When you're ready to contribute code, open a pull request in the GitHub " "repository and one of the project maintainers will review it and possibly " "ask questions, request changes, reject it, or merge it into the project." msgstr "" "Ukiwa tayari kuchangia mawazo ya msingi ya unndwani, fungua mjadala wa " "kuwataarifu wengine kuhusiana na mabadiliko unayotaka kufanya katika GitHub " "na mmoja katika ya watu wa mradi watayapitia na wanaweza kukuuliza maswali, " "kuomba mabadiliko, kuyakataa au kuunganisha katika mradi." #: ../../source/develop.rst:27 msgid "Starting Development" msgstr "Kuanza Maboresho" #: ../../source/develop.rst:29 msgid "" "OnionShare is developed in Python. To get started, clone the Git repository " "at https://github.com/onionshare/onionshare/ and then consult the ``cli/" "README.md`` file to learn how to set up your development environment for the " "command-line version, and the ``desktop/README.md`` file to learn how to set " "up your development environment for the graphical version." msgstr "" "OnionShare imetengenezwa katika lugha ya kompyuta ya programu inayotengeneza " "programu na tovuti. Ili kuanza, nakilisha Git repository katika https://" "github.com/onionshare/onionshare/ kisha omba ushauri kwa faili la``cli/" "README.md`` ili kujifunza namna ya kupangilia mazingira yako ya maboreshokwa " "toleo la command-line, na faili``desktop/README.md`` kujifunza namna ya " "kupangilia mazingira yako ya maboresho katika toleo la picha." #: ../../source/develop.rst:32 msgid "" "Those files contain the necessary technical instructions and commands " "install dependencies for your platform, and to run OnionShare from the " "source tree." msgstr "" "Mafaili yote yaliyo na maelezo ya muhimu ya kiufundi na lugha ya kompyuta " "sanikisha yakitegemeana katika utendaji wako, na tumia OnionShare kutoka " "kwenye chanzo." #: ../../source/develop.rst:35 msgid "Debugging tips" msgstr "Vidokezo vya utatuzi" #: ../../source/develop.rst:38 msgid "Verbose mode" msgstr "Mfumo wa kupata taarifa zaidi" #: ../../source/develop.rst:40 msgid "" "When developing, it's convenient to run OnionShare from a terminal and add " "the ``--verbose`` (or ``-v``) flag to the command. This prints a lot of " "helpful messages to the terminal, such as when certain objects are " "initialized, when events occur (like buttons clicked, settings saved or " "reloaded), and other debug info. For example::" msgstr "" "Wakati wa utenegenezaji, Urahisi wa kutumia OnionShare kutoka katika kifaa " "na kuongeza ``--verbose`` (au``-v``) ishara katika utendaji wa lugha ya " "kompyuta. Hii hutoa jumbe nyingi zenye msaada katika kifaa unachotumia, kama " "vile wakati kifaa fulani kinaanzishwa kutumika, wakati matukio yanatokea " "(kama kitufe kiklichobonyezwa, mipangilio iliyohifadhiwa au kurekebishwa), " "na taarifa zingine za utatuzi. Kwa mfano::" #: ../../source/develop.rst:117 msgid "" "You can add your own debug messages by running the ``Common.log`` method " "from ``onionshare/common.py``. For example::" msgstr "" "Unaweza kuongeza ujumbe wako mwenyewe wa utatuzi kwa kuitumia njia " "ya``Common.log`` kutoka``onionshare/common.py``. Kwa mfano::" #: ../../source/develop.rst:121 msgid "" "This can be useful when learning the chain of events that occur when using " "OnionShare, or the value of certain variables before and after they are " "manipulated." msgstr "" "Hii inaweza kufaa wakati wa kujifunza mnyororo wa matukioyanayotokjea " "unapotumia OnionShare, au thamani ya vitu fulani kabla na baada ya kutumiwa." #: ../../source/develop.rst:124 msgid "Local Only" msgstr "Ndani tu" #: ../../source/develop.rst:126 msgid "" "Tor is slow, and it's often convenient to skip starting onion services " "altogether during development. You can do this with the ``--local-only`` " "flag. For example::" msgstr "" "Tor ipo polepole, na maranyingi ni rahisi kuruka kuanza onion services zote " "kwa pamoja wakati zinatengenezwa. Unaweza kufanya hivi ukiwa na ``--local-" "only``. Kwa mfano::" #: ../../source/develop.rst:165 msgid "" "In this case, you load the URL ``http://127.0.0.1:17641`` in a normal web-" "browser like Firefox, instead of using the Tor Browser. The private key is " "not actually needed in local-only mode, so you can ignore it." msgstr "" "Kwa jambo hili, tafuta URL ``http://127.0.0.1:17641`` katika kivinjari cha " "kawaida kama vile Firefox, badala ya kutumia Tor Browser. Private key " "haiitajiki sana katika mfamo wa ndani tu, hivyo unaweza ukaipuuzia." #: ../../source/develop.rst:168 msgid "Contributing Translations" msgstr "Kuchangia utafsiriji" #: ../../source/develop.rst:170 msgid "" "Help make OnionShare easier to use and more familiar and welcoming for " "people by translating it on `Hosted Weblate `_. Always keep the \"OnionShare\" in latin letters, " "and use \"OnionShare (localname)\" if needed." msgstr "" "Saidia kufanya OnionShare rahisi kutumia na inayojulikana na inayokubalika " "na watu kwa kuitafsiri `Hosted Weblate `_. Sikizote fanya \"OnionShare\" katika ketika heruzi za " "kilatin, na tumia \"OnionShare (localname)\" kama zinahitajika." #: ../../source/develop.rst:172 msgid "" "To help translate, make a Hosted Weblate account and start contributing." msgstr "" "Kusaidia kutafsiri, tengeneza akaunti katika Hosted Weblate kisha anza kutoa " "mchango wako." #: ../../source/develop.rst:175 msgid "Suggestions for Original English Strings" msgstr "Mapendekezo ya maneno ya asili ya kingereza" #: ../../source/develop.rst:177 msgid "" "Sometimes the original English strings are wrong, or don't match between the " "application and the documentation." msgstr "" "Wakati mwingine maneno ya asili ya kingereza sio sahihi, au hayaendani na " "matumizi na nyaraka." #: ../../source/develop.rst:179 msgid "" "File source string improvements by adding @kingu to your Weblate comment, or " "open a GitHub issue or pull request. The latter ensures all upstream " "developers see the suggestion, and can potentially modify the string via the " "usual code review processes." msgstr "" "Kuboresha mafaiili kwa kuongeza @kingu katika mapendekezo yako ya Weblate, " "au fungua matatizo ya GitHub au ombi la mabadiliko. Baadae itahakikisha " "watengenezaji wanaona hayo mapemndekezo yote, na wanaweza kurekebisha maneno " "kupitia njia ya kawaida ya kufuatilia mnisingi ya programu." #: ../../source/develop.rst:183 msgid "Status of Translations" msgstr "Hali ya utafsiriji" #: ../../source/develop.rst:184 msgid "" "Here is the current translation status. If you want start a translation in a " "language not yet started, please write to the mailing list: onionshare-" "dev@lists.riseup.net" msgstr "" "Hii ni hali ya utafsiriji kwa sasa. Kama unataka kuanza kuatafsiri katika " "lugha ambayo bado haijaanza kutafsiriwa, tFdhLI ndik katika orodha ya Barua " "pepe: onionshare-dev@lists.riseup.net"